16
Jux Apata Kigugumizi Ishu Ya Ndoa Na Mnigeria
Jumapili ya Januari 12, 2025 mpenzi wa msanii wa muziki wa RNB, Juma Mussa 'Jux', Priscilla Ajoke Ojo ametua Tanzania akitokea kwao Nigeria na kuthibitisha anatarajia kufunga ...
16
Vanessa Mdee afunguka Muziki wa kidunia Ushetani Mwingi
Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee, ameweka wazi kutorudia kufanya muziki wa kidunia huku akiuhusisha na masuala ya kishetani.Vanessa ameyasema hayo alipokuwa akifa...
01
Hakimiliki inazingatiwa wasanii kurudia nyimbo za zamani
Na Peter Akaro Miaka ya hivi karibu imekuwa siyo jambo geni kusikia nyimbo mpya za Bongofleva zikiwa na vionjo vya nyimbo za kitambo, hilo limekuwa likitoa nafasi kwa nyimbo h...
09
Jux anamtumia Priscilla kumrusha roho Vanessa Mdee
Kati ya mastaa Bongo walioteka mazungumzo mtandaoni wiki hii, ni Jux, 34, mara baada ya kumtembelea nyumbani kwao Nigeria mpenzi wake mpya, Priscilla Ojo, 23, ambaye ni muigiz...
15
Chidimma Adetshina kushiriki Miss Universe Nigeria
Chidimma Adetshina (23) ambaye aliamua kujiondoa kwenye mashindano ya Miss South Africa kutokana na kubaguliwa kwenye shindano, kwa madai ya kuwa ni raia wa Nigeria, na sasa m...
30
Maisha yanavyowabadilisha wasanii
Licha ya kuwa katika ulimwengu wa burudani, umaarufu na mafanikio mara nyingi hutafsiriwa kama kipimo cha furaha kwa wasanii, lakini wapo baadhi ambao wamekuwa wakiikimbia tas...
19
Vanessa Mdee afanyiwa upasuaji wa jicho
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini ambaye kwasasa anaishi Marekani na mpenzi wake Rotimi ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji (Surgery) wa jicho na kuwa kwa sasa anaen...
31
Mtangazaji azua gumzo, ameza nzi akiwa live
Mtangazaji nchi Marekani aitwaye Vanessa Welch anayefanya kazi katika kituo cha runinga cha Boston25 amezua gumzo na kuwashangaza wengi kupitia mitandao ya kijamii baada ya ku...
28
Vanessa akanusha kuwa na ujauzito
Baada ya kushare video kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuzua gumzo kupitia mitandao ya kijamii kiwa ni mjamzito mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amekanusha taarif...
02
Vanessa aelezea hali ya Mimimars
Kutokana na taarifa zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na hali ya kiafya ya msanii #MimiMars, baada ya kudaiwa kupata ajali, Vanessa Mdee ambaye ni dada yake a...
30
Vannesa Mdee awajia juu wanaojadili ngozi ya mwanaye
Mwanamuziki Vannesa mdee, ameonesha kukasirishwa na baadhi ya watu wanaosema vibaya ngozi ya mtoto wake Seven kuwa nyeusi sana.Msanii huyo amevunja ukimya na kuwajia juu wote ...
16
Vanessa Mdee aweka wazi juu ya utajiri wake
Na Habiba Mohamed Hellow niaje niaje! Kama kawaida kila kona kutafuta  story moto moto na kukusogezea mdau wetu wa nguvu.Ebwana majina yanaumba  mnamkumbuka yule mwa...
07
Q Chief ashangaa Vanessa kufananishwa na Saraphina
Moja ya jambo ambalo msanii Q Chief halimuingi akilini kabisa ni hili la mwanamuziki Saraphina kufananishwa na mwanadada Vanessa Mdee kwenye muziki. Q Chief anasema Saraphina ...
22
Vanessa anunuliwa nyumba ya Bilioni 1.1
Msanii wa muziki nchini Tanzania, Vanessa Mdee amethibitisha kununuliwa nyumba ya kifahari na mpenzi wake ambaye ni Star wa muziki nchini Marekani anayefahamika kwa jina la Ro...

Latest Post