Hakuna ubishi kuwa MB Dogg ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongofleva ambao muziki wao ulitikisa vilivyo, ngoma zake zililia sana mitaani na kutawala chati karibia zote za...
Filamu ya mwanamuziki kutoka Canada, The Weeknd iliyopewa jina la ‘Hurry Up Tomorrow’ imeripotiwa kutoka na kuanza kuoneshwa katika kumbi za sinema Mei 16,2025.Fil...
Jacob Batalon ambaye alipata umaarufu kupitia filamu ya Spider-Man, akicheza kama Ned Leeds amemchumbia mpenzi wake wa muda mrefu Veronica Leahov.Tukio la wawili hao kuchumbia...
Mkali wa Bongo Fleva ambaye ameendelea kuupeleka muziki huo Kimataifa Rayvanny amefichua alivyofanikiwa kumshawishi Maluma kufanya naye kolabo ya wimbo wa ‘Mama Tetema&r...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Yemi Alade amefunguka kuwa amekosa tuzo nyingi kutokana na kukataa kutoa rushwa ya ngono.Wakati alipokuwa kwenye moja ya mahojiano yake Yemi ...
Mwigizaji wa Marekani ambaye alipata umaarufu kupitia filamu ya ‘Home Alone’ Macaulay Culkin amefunguka kuwa alimwaga machozi baada ya mdogo wake Kieran Culkin kus...
Kawaida tasnia ya muziki inaambatana na masuala ya fasheni na mitindo. Na hii ni kutokana na mchango wa mwonekano katika katika kukuza brand ya msanii.
Hii imejionesha k...
Usiku wa kuamkia leo Machi 3, 2025 limefanyika tukio la ugawaji wa tuzo kubwa duniani za Filamu za Oscar katika Ukumbi wa Dolby Theatre Ovation, Hollywood Los Angeles. Tuzo hi...
Mwanamuziki kutoka Kenya ambaye ameshinda tuzo ya Trace Award katika kipengele cha msanii bora Afrika Mashariki, Bien amemkingia kifua Marioo baada ya wadau na muziki kumnanga...
Mwanamuziki kutoka Bongo ambaye amepokea pongezi nyingi kufuatia na kupiga show kali aliyoifanya katika tamasha la Trace Awards, Harmonize amewatia mkwala watakao fanya fujo k...
Moja ya tukio ambalo limepokea maoni mengi kutoka kwa mashabiki na mastaa katika shamra shamra za ugawaji wa tuzo za Trace ni kuhusiana na mwanamuziki Diamond kusafirisha gari...
Moja ya tukio ambalo linasubiriwa kwa hamu Zanzibar kisiwani Unguja ni ugawaji wa Tuzo za Trace ambazo zinatarajiwa kutolewa kesho Februari 26,2025.Tukio hilo ambalo lilianza ...
Kuelekea siku ya ugawaji wa tuzo za Tanzania Comedy Award Tarehe 22 Februari 2025, Naibu waziri wa Habari tamaduni sanaa na michezo Hamis Mwinjuma, Mwana FA amesema tukio hilo...
Endapo jana Februari 14 ulikosa raha kwa sababu wengi walisherehekea siku ya wapendanao kwa kupokea zawadi, ujumbe wa mahaba au kwenda matembezi na wenza wao, wakati wewe haun...