Mtandao unaokubalika zaidi duniani kote wa WhatsApp umetangaza kuacha kufanya kazi katika simu za zamani za Android ambazo hazipati Updates za mfumo mpya unaofanyika kila mwak...
Je unatamani kuficha baadhi ya chats zako wengine wasizione? Kama ulikuwa unatumia njia ya kufungua WhatsApp yako na kuingia kwa Face ID au Passcode, sasa unaweza kuachana na ...
Kampuni ya Meta inayojihusisha na mitandao ya kijamii pamoja na kampuni inayoongoza duniani kwa kutoa burudani ya muziki 'Universal Music Group (UMG)' zimeingia makubaliano ma...
Na Aisha Lungato
Maendeleo makubwa katika masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) imeenda kubadilisha nyanja mbalimbali ya maisha yetu ikiwemo namna tunavyowas...
Kama tunavyojua kumekuwa na malalamiko mengi kuhusiana na baadhi wa watu kulalamikia akaunti zao za WhatsApp kufungiwa mara kwa mara bila ya sababu yoyote sasa @Mwananchiscoop...
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa watumiaji wengi wa WhatsApp yakihusisha akaunti zao za mtandao huo kufungiwa bila ya wao kujua chanzo. @mwananchiscoop tunakujuza sababu zita...
Mwimbaji wa nyimbo za injili mkazi wa Eldoret nchini Kenya, Mchungaji William Getumbe amejikuta katika mgogoro na watumishi wenzake, huku wakimtoa kwenye kundi (group) lao la ...
Kampuni ya mtandao ya Whatsapp yapigwa faini ya Tsh. bilioni 13.9 kwa kukiuka sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi za watumiaji wao.
Tume ya Kulinda Data ya Ireland ...
Huduma ya kutuma ujumbe papo hapo ya WhatsApp itawaruhusu watumiaji kuunganishwa kupitia seva mbadala ili waweze kusalia mtandaoni ikiwa mtandao utazuiwa au kukatizwa na...
Alooooh! Wale wenzangu wa kuweka mistatus mingi kama nawaona mnavyo zima data na kuwasha basi bwana kwa taarifa zilizo tufikia hivi punde ni kwamba mtandao huo unashida kidogo...
Ebwanaa eeh!! mambo vipi hivi unajua kama kila kukicha smartphone yako ina uwezo wa kufanya mambo kadha wa kadha ?.
Je unafahamu jinsi ya kuficha chats zako za whats up?leo kw...
Awooooteeee!!!! Namna hiyo ndivyo ninavyoanza kwa vibe kama lote mwanangu mwenyewe! Karibu kwenye kipengele kizuri kabisa cha Smartphone, huu ni uwanja wako wakujidai kuimilik...