Msanii wa Bongo Fleva Harmonize amefanikiwa kutazamwa zaidi ya mara bilioni moja kwenye mtandao wake wa Youtube.Harmonize alianza kuweka maudhui ya muziki kwenye channel yake ...
Moja ya jambo ambalo limeibua mijadara mingi katika mitandao ya kijamii ni kuhusiana na mwanamuziki Wizkid kuongoza (Director) mwenyewe video ya wimbo wake uitwao ‘Kese&...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amefichua mbinu aliyotumia kuondoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) bila drama yoyote wala maneno h...
Mkali wa Afrobeat Wizkid ni miongoni mwa wasanii walioingai kwenye historia ya marehemu mwanamuziki wa reggae Bob Marley baada ya albam ya msanii huyo aliyefariki mwaka 1981 k...
Na Masoud KofiiMiongoni mwa wasanii wenye vipaji vya kuimba muziki ambavyo Tanzania imebarikiwa ni pamoja na Mavokali ambaye amekuwa akifanya muziki kwa namna ya tofauti. Benj...
Na Masoud KofiiMwimbaji wa Afrobeats Davido, ameonesha kujigamba baada ya kuendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii pekee aliyeshika nafasi 16 kwenye chati ya nyimbo za juu z...
Mwanamuziki wa Nigeria Wizkid ameandika historia nyingine katika tasnia ya muziki wa Afrobeats kwa kuachia albamu yake ya sita leo Novemba 22, 2024 iitwayo ‘Morayo&rsquo...
Licha ya ngoma ya ‘Komasava’ kufanya vizuri duniani kote lakini msanii Diamond Platnumz amegonga mwamba dhidi ya mastaa kutoka Nigeria katika kuwania tuzo za Gramm...
Mwanamuziki wa Marekani Nicki Minaj ameeleza kuwa wimbo wa mkali wa Afrobeat Wizkid ‘Essence’ unastahili kushinda tuzo ya Grammy kutokana na ubora wake.Rapa huyo a...
‘Rapa’ na mwigizaji Tobechukwu Ejiofor, maarufu kama Illbliss, amezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba Burna Boy, Davido, na Wizkid ni ma-r...
Mwanamuziki wa Marekani Nicki Minaj amecheza kionjo cha nyimbo aliyorekodi na mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Wizkid.Minaj ameshare kionjo cha ngoma hizo wakati alipokuwa liv...
Mwingizaji na nyota wa Big Brother Naija, kutoka nchini Nigeria, Tolani Baj amedai kutishiwa maisha na mashabiki wa #Wizkid.
Tolani ameyasema hayo katika kipindi cha ‘Ba...
Baada ya bifu la mwanamuziki Wizkid na Davido kulindima kwa wiki kadha, hatimaye Wizkid amedai kuwa kwa sasa anampenda Mungu na hana chuki na mtu yeyote.
Wizkid ameyasema hayo...
Rapa wa Nigeria #Skales amemtolea povu mkali wa Afrobeats #Wizkid baada ya kudai kuwa muziki wa Hip-hop umekufa.
Skales ametoa povu wakati alipoulizwa swali juu ya Wiz kudai m...