Aloooooh! Sio powa wewe ukijiona umependeza wenzio wanakuona kituko basi bwana, Msanii kotoka nchini Nigeria Tems amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya vazi lake a...
Taarifa kutoka DRC ambapo Mauaji hayo yametokea siku chache tangu Wanamgambo hao kulipua zaidi ya Watu 40 katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo ...
Mamlaka nchini Malawi imefunga shule katika wilaya 10 kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu katika nchi jirani ya Msumbiji.
Mvua kubwa...
Habari kijana mwenzangu, nikukaribishe tena kwenye ukurasa wa makala za kazi,ujuzi na maarifa sehemu pekee unayoweza kupata utatuzi kuhusiana na masuala ya kikazi.
Wiki hii tu...
Kiharusi ni nini?
Kiharusi cha muda mfupi, pia huitwa Transient ischemic attack (TIA), Ni hali ya mfumo wa neva unaotokea ghafla na hudumu kwa muda mfupi. Hii husababishwa na ...
Wanawake oyeeeeeh! Kaulimbiu yetu ni ile ile bila hata ya kuwezeshwa wenyewe tunaweza, haki sawa kwa wote, kama tunavyojua wiki hii ilikuwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake ...
Ebwana eeeh, hii ni Ijumaaa tulivu kabisa. Karibu sana kwenye makala za burudani ambapo wiki hii nakukutanisha na kijana machachari wanamuita ‘Kontawa.’ Bila shaka...
Hellow guys! I hope mko biyeeee kabisaaa, its Friday, mwendo wa fashion kama kawaida yetu bwana. Wiki hii mambo ni moto, mambo ni firee, hatupoi wala hatuboi bwana.
Nikwambie ...
Whats up my adventurous people? Ni wiki nyingine tena ambapo tunakutana katika segment ya Bata Batani nikikujulisha kuhusiana na sehemu mbalimbali unazoweza kwenda kuenjoy ya ...
Wabunge wamewasilisha Bungeni muswada unaopendekeza adhabu mpya kali kwa wanaojihusisha/watakaojihusisha na uhusiano wa jinsia moja, licha ya ukosoaji kutoka kwa mashirika ya ...
Gavana wa Taliban wa jimbo la Balkh kaskazini mwa Afghanistan ameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga linalodaiwa na kundi la Islamic State (IS). Mohammad Dawood Mu...
Kikitokea Kaskazini Magharibi mwa Australia zaidi ya siku 30 zilizopita, Kimbunga Freddy kina uwezekano wa kuweka rekodi ya kuwa Kimbunga kilichodumu muda mrefu zaidi Vi...
Muigizaji wa Filamu Nchini Tausi Mdegela Amefunguka juu ya changamoto za unyanyasaji anazokumbana nazo mitandaoni, kazini pamoja na mitaani kutokana na muonekano wa...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ameruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara kutolipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwaka mmoja. K...