Ni miezi sita sasa bila Alikiba kutoa wimbo mpya lakini sio jambo ngeni bali ni utamaduni wake kwa miaka nenda rudi, ni mara kadhaa amewahi kujipa mapumziko na baadaye ujio wa...
Peter AkaroMkali wa Afrobeats kutokea Nigeria, Davido amefunguka kuhusu nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo mkewe Chioma katika maisha yake binafsi na kazi yake ya muziki na ku...
Rapa kutoka Marekani ameeleza kuwa mwanamuziki Chris Brown kama asingemfanyia vurugu na kuwafanya mashabiki wamchukie kwa kitendo chake basi angekuwa katika kiwango ambacho al...
Kama ni shabiki kindaki ndaki wa msanii Marioo utagundua kuwa wakati alipokuwa akianza muziki alijulikana kupitia ngoma zake za kuumizwa na mapenzi nyimbo ambazo anazifanya kw...
Mwanzoni mwa wiki hii msanii wa Afrobeat kutokea nchini Nigeria, Wurld alichapisha video kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonesha yupo studio na wakali wa Bongo Fleva, Mar...
Hali ya mwigizaji maarufu kutoka Marekani Bruce Willis inazidi kuwa mbaya baada ya kuripotiwa kupoteza mawasiliano kabisa kufuatia na ugonjwa unaomsumbua wa Frontotemporal Dem...
Mwigizaji na mfanyabiashara Shamsa Ford amemtaka aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara asichoke kuoa kwani amekuwa msaada mkubwa kwa wanawake anaofunga nao ndoa.Inawezekana ...
Kijana mmoja kutoka nchini India aliyefahamika kwa jina moja George ameripotiwa kufunga ndoa na Mbuzi baada ya kuvunjika moyo kutokana na mahusiano yake ya nyuma.Inaelezwa kuw...
Mashabiki, ndugu, jamaa pamoja na wasanii wamejitokeza kutoa heshima za mwisho kwa mwanamuziki Rubby Perez aliyefariki dunia kwa kuangukiwa na paa wakati alipokuwa akitumbuiza...
Mwigizaji na mfanyabiashara Jacqueline Wolper ametia neno kuhusiana na ishu nzima ya Zaiylissa na Haji Manara kurushiana maneno mitandaoni huku akiwataka kuacha kutoleana siri...
Aliyekuwa mume wa mwigizaji Zaiylisa, Haji Manara ameendelea na msimamo wake wa kutoongea chochote mpaka pale muda sahihi utakapo amua hilo.Kupitia ukurasa wake wa Instagram a...
Unaweza kusema haikuwa bahati kwa waliokuwa wakipendanao, Haji Manara na mwigizaji Zaiylissa. Baada ya wawili hao kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii wakionesha penzi...
Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mshirika wa kundi la muziki la Navykenzo, Aika amewashauri wasichana kutokuwa na matarajio makubwa kutoka kwa wanaume.Aika ameyasema hayo k...