Shabiki aliyemvamia mkali wa Afrobeat Nigeria Burna Boy stejini na kupelekea msanii huyo kususia show na kushuka jukwaani amefunguka kuwa alipanda katika steji hiyo kwa lengo ...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Drake ameendelea kuonesha uugwana kwa mashabiki zake na sasa amemkabidhi shabiki aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani dola ...
Kijana mmoja ambaye ni shabiki wa Arsenal ameonekana akimwaga machozi kutokana na ‘klabu’ anayoshabikia kuchapwa na #WesthamUnited bao 2-0, huku ikiwa ni mara ya k...
Msanii kutoka nchini Marekani Boosie Badazz amewashangaza wengi kwa kauli yake iliyosikika kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kukataa kupiga picha na mashabi...
Imekuwa tabia ya baadhi ya mashabiki kuwatupia vitu wasanii wakiwa jukwaani, bila kujali vitu hivyo vinaweza kuwaumiza au laa, lakini upande wa wasanii imekaa tofauti mara nyi...
‘Tiketi’ za tamasha la SOL Fest ambalo linatarajiwa kufanyika November 4, Uhuru Gardens nchini Kenya zimeisha.Tamasha hilo ambalo maalumu na litakuwa la mwisho kuf...
Msanii maarufu wa RnB na Pop duniani, Chris Brown amejikuta akiingia katika trends mitandaoni baada ya picha alizopiga na fans wake katika event yake ya 'Meet and Greet' kusam...