05
Rais Joe Biden ampa medali ya heshima denzel washington
Rais Joe Biden amemtunuku mwigizaji Denzel Washington heshima ya juu kabisa ya uraia kwa medali ya Uhuru wa chini hapo jana katika Ikulu ya White House nhini Marekani. Medali ...
17
Carl Weathers kutunukiwa nyota ya heshima
Marehemu mwigizaji kutoka Marekani Carl Weathers ameripotiwa kutunukiwa nyota ya heshima kutoka ‘Hollywood Walk of Fame’ wiki ijayo, kufuatia na mchango wake katik...
06
Gabo Zigamba atunukiwa tuzo ya heshima Iringa
Mwigizaji Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ ametunukiwa tuzo ya heshima Mkoani Iringa kufuatia na ubunifu wake katika uigizaji.Tuzo hizo za ‘Chama cha Waigizaji na ...
03
Timu ya Lakers yatoa heshima kwa Kobe na mwanaye
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani ‘Los Angeles Lakers’ siku ya Jana Agosti 2, imezindua sanamu la marehemu nguli wa kikapu Kobe Bryant na mwanaye.Kufuatia na...
01
Tyla, Usher wateka BET 2024
Peter Akaro Usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Peacock huko Los Angeles, Calfornia nchini Marekani kumetolewa tuzo za BET 2024 ambapo Usher Raymond IV na Tyla ndio mastaa w...
25
Will Smith kukiwasha tuzo za Bet
Mwigizaji na ‘rapa’ wa Marekani Will Smith ameripotiwa kurudi tena jukwaani kama mwanamuziki ambapo anatajiwa kutumbuiza katika Tuzo za BET. Katika taarifa iliyoto...
11
Vazi la heshima alilovaa mke wa Kanye West lageuka gumzo
Mke wa mwanamuziki kutoka Marekani #KanyeWest #BiancaSensori amewashangaza wengi baada ya kuvaa vazi la heshima akiwa matembezi na mumewe nchini Japan. Vazi alilovaa Bianca nd...
23
Bellingham apata tuzo ya mchezaji bora wa kiume
Kiungo mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #RealMadrid, #JudeBellingham usiku wa kuamkia leo amepata tuzo ya mchezaji bora wa kiume katika tuzo za ‘Laures Sports Awar...
17
Taylor Swift apewa heshima na instagram
Ikiwa zimebaki siku chache tuu mwanamuziki kutoka nchini Marekani Taylor Swift kuachia album yake ya mpya iitwayo ‘The Tortured Poets Department’, msanii hiyo amep...
20
Dr Dre atunukiwa nyota ya heshima
Baada ya kutangazwa na watoaji wa nyota za heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’siku chache zilizopita, hatimaye ‘rapa’ na producer Dr Dre tayari ametunu...
14
Dr. Dre kutunukiwa nyota ya heshima, hollywood walk of fame
Producer na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Dr. Dre anatarajiwa kutunukiwa nyota ya heshima kwenye Hollywood Walk of Fame Machi 19, mwaka huu katika Jengo la Hollywo...
02
Georgina ampa heshima Cr7
Mpenzi wa mchezaji Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez ameonesha kum-sapoti, na kumpa heshima mpenzi wake huyo kwa kuvalia vazi lililoandikwa jina la CR7 katika maonesho ya ...
29
Zamu ya Burna Boy kupewa heshima Marekani
Mji wa Boston, Massachusetts nchini Marekani umetangaza Machi 2, kuwa ni siku ya Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy, itayoitwa ‘Burnaboy Day’ kama h...
14
Super Eagles watunukiwa medali za heshima na Rais Tinubu
Baada ya ‘timu’ ya Taifa ya #Nigeria, maarufu kama #SuperEagles kuibuka mshindi wa pili katika michuano ya AFCON 2023, wametunukiwa medali za heshima na Rais wao B...

Latest Post