Ombi la dhamana la mkali wa hip hop Marekani Diddy Combs imekataliwa huku jaji wa mahakama hiyo akidai kuwa hawezi kumuachia huru rapa huyo kutokana na usalama kuwa mdogo kwa ...
Mahakama ya Rufani imetupilia mbali shauri la maombi ya marejeo lililofunguliwa na mjane wa Reginald Mengi, Jacquiline Ntuyabaliwe na wanawe wawili, ambao wamekuwa wakipambana...
Tazama mtoto wa miaka 2 aitwaye #Devan akionesha ufundi wake kwenye somo la hisabati katika shindano ya kusaka vipaji la America's Got Talent linaloendelea nchini&nb...
Baada ya washukiwa watano kati ya saba wanaohusishwa kuhusika na kifo cha ‘rapa’ Kiernan Forbes maarufu AKA kuomba dhamana mwezi uliyopita, na sasa dhamana hiyo im...
Pisi Kali hanywi pombe kali wala ngumu. Anakunywa pombe laini tena zisizozidi chupa tatu kwa wikiendi tu. Siku za kawaida pisi kali hagusi pombe wala hana outing. Pisi kali ak...
Mwanamuziki kutoka Marekani, #MeganTheeSTallion amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mpiga picha wake #EmilioGarcia kwa unyanyasaji wa kihisia na mazingira magumu ya kazi.
Emil...
Baada ya kuhusishwa katika kesi ya vifo vya watu 10 vilivyotokea katika tamasha la Astroworld lililofanyika mwaka 2021, hatimaye Jaji Kristen Hawkins ametupilia mbali kesi hiy...
Jeshi la Polisi nchini Nigeria limeanza uchunguzi dhidi ya mkali wa #AfroBeats, Davido ambaye anatuhumiwa kumpa vitisho na kmufanyia ukatili wa kimwili, msanii mwenzie #TiwaSa...
Mshitakiwa aliyetambulika kwa jina la #DeobraRedden mwenye umri wa miaka 30, amemshambulia Jaji Mary Kay Holthus wakati akisomewa hukumu yake siku ya jana Jumatano.
Video zili...
Muigizaji Lupita Nyong’o anatarajiwa kuongoza Baraza la Majaji katika tamasha la Kimataifa la filamu la Berlinale mwezi Februari mwaka 2024.
Kupitia ukurasa wa Instagram...
Wakati lugha ya Kiswahili ikizidi kuvuka boda na kuleta mafanikio mazuri katika nchi mbalimbali kuweza kuruhusu lugha hiyo itumike kimataifa kama lugha ya Kingereza, huko nchi...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ameruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara kutolipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwaka mmoja. K...
Baraza la Madiwani Jijini Mbeya limesitisha usajili mpya wa Usafiri wa Bajaji kutokana na kuwa nyingi jijini humo kuliko Mahitaji pamoja na kusababisha Ajali mara k...