Msanii kutoka Jamaica, Shenseea alilazimika kukatisha show na kushushwa jukwaani baada ya kuzuka vurugu katika tamasha la RahaFest lililofanyika usiku wa kuamkia Leo nchini Ke...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Davido ametangaza kutokuwepo kwenye usiku wa Tuzo za Earth Prize zinazotarajiwa kufanyika leo Capetown nchini Africa Kusini, huku akitaja sababu kuw...
Baraza la Sanaa la Taifa 'BASATA' limelaani vikali tukio lililotokea Septemba 28, mkoani Mbeya la mwanamuziki Zuhura Othman Soud 'Zuchu' kurushiwa vitu jukwaani wakati akitumb...
Tazama mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Nicki Minaj alivyompandisha jukwaani msanii Drake katika show yake ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya ‘Pink Friday 2 Tour&rs...
Nyota mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Malu Stonch amefariki dunia usiku wa jana baada ya kuanguka ghafla jukwaani katika ukumbi wa Target uliopo Mbezi Beach wakati aki...
Baada ya dada wa mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Celine Dion, Claudette Dion kutoa taarifa mpya kuhusiana maendeleo ya mwanamuziki huyo Desemba mwaka jana, kwa kuwe...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #JustinBieber amefanya onesho lake la kwanza baada ya miaka miwili kuwa kimya bila kuoneka kwenye majukwaa.
Justin alipanda kujwaani usikuwa...
Tukiwa tunahesabu masaa kuelekea kushuhudia ugawaji wa Tuzo maarufu za Grammy 66, na huu ndio muonekano wa ukumbi itakapo fanyika shughuli hiyo.Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa...
Wakali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria #Asake na #Davido waiibua shangwe kwa mashabiki wakati wakitumbuiza katika tamasha la Flytime Festival.
#Asake alimpandisha jukwaani ...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown ameibua shangwe kwa mashabiki baada ya kumpandisha jukwaani mkali wa Afrobeat Davido na ku-perfom ngoma yao ya ‘Sensationa...
Dada wa mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Celine Dion, Claudette Dion ametoa taarifa mpya kuhusiana maendeleo ya mwanamuziki huyo kwa kuweka wazi kuwa kwa sasa Celine...
Mama mzazi wa mwanamuziki kutoka nchini Kenya Bien, amemfanyia surprise mwanaye, baada ya kupanda jukwaani alipokuwa akitumbuiza katika show yake ya kwanza tangu atoe albumu y...
Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Brazili, Pendro Henrique mwenye umri wa miaka 30 amefariki dunia akiwa jukwaani wakati anatumbuiza
Muimbaji huyo amedondoka ghafla a...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limefungia wimbo wa mwanamuziki Madee alioachia siku ya jana tarehe 13 Disemba, kutokana na wimbo huo kukiuka maadili.
Kwa mujibu wa barua il...