Mwanamuziki Rihanna amemjia juu shabiki mmoja aliefahamika kwa jina la ‘Lorenzo Hirmez’ baada ya shabiki huyo kumwambia Riri anakomwe.“Tunahitaji album komwe...
Msanii kutoka Jamaica, Shenseea alilazimika kukatisha show na kushushwa jukwaani baada ya kuzuka vurugu katika tamasha la RahaFest lililofanyika usiku wa kuamkia Leo nchini Ke...
Mwanaume mmoja kutoka Afrika Kusini ambaye hajawekwa wazi jina lake ameripotiwa kuwasilisha kesi ya talaka mahakamani baada ya mke wake kupiga picha yenye utata na mkali wa R&...
Fashion na mitindo ni miongoni mwa tasnia pendwa ulimwenguni, ingawa katika baadhi ya maeneo bado haijapewa kipaumbele. Licha ya hayo haijawa sababu ya tasnia hiyo kuacha kuza...
Rapa Drake ameripotiwa kuishitaki mitandao ya kuuzia muziki Universal Music Group (UMG) na Spotify kufuatia na wimbo wa Kendrick Lamar.Kwa mujibu wa Billboard, Drake amechukua...
Kama umeshawahi kukutana na picha za kikongwe huyo na ukajidanganya kuwa huenda zikawa ni picha zilizotengenezwa na AI (Akili Bandia), basi utakuwa unajidanganya kwani huyu ni...
Mwanamke mmoja kutoka Agra, India ambaye hajawekwa wazi jina lake ameripotiwa kuomba talaka kwa mumewe ikiwa ni siku 40 tangu wawili hao kufunga ndoa, huku kisa kikiwa ni kuto...
Mwanamuziki wa Nigeria Rudeboy amemnawa mwanasiasa kutoka chama cha ‘All Progressives Congress’ Joe Igbokwe kutokana na maoni yake kuhusu ugomvi kati ya msanii huy...
Na Aisha Charles
Katika kutafuta njia ya kupambania ndoto zako ukiwa chini ya uangalizi wa wazazi hasa ukiwa unawategemea kwa kila kitu lazima kutakuwa na mashaka, mzazi au ml...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy anazidi kuweka historia katika mataifa mbalimbali ambapo usiku wa kuamkia leo amefanya show iliyo hudhuriwa na watu 80,000 katika U...
Sanamu la aliyewahi kuwa rais wa Marekani na mwanasheria Abraham Lincoln lililopo Washington DC, limeripotiwa kuyeyuka huku sababu ikitajwa ni joto kali nchini humo ambapo mpa...
Mwanamuziki kutoka Marekani, Ashley Parrish, ‘Kehlani’, ameweka wazi kuwa alipata hasara kwa kupoteza fursa za mikataba baada ya kutoa msaada kwa watu wa Palestina...
Staa wa zamani wa Chelsea, Michy Batshuayi ameripotiwa kukumbana na ‘meseji’ za vitisho vya maisha baada ya uhamisho wa Galatasaray.‘Fowadi’ huyo mweny...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola jana alimwaga machozi baada ya kuulizwa swali kuhusu kuondoka kwa meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp.Klopp jana aliiongoza Liverpool kwe...