03
Watoto wa Murphy na Martin waunganisha undugu
Wachekeshaji maarufu wa Marekani Martin Lawrence na Eddie Murphy hatimaye wamekuwa familia moja baada ya watoto wao kuchumbiana na wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.Kupit...
01
Wema Sepetu hajarudia makosa
Mwigizaji mkongwe na mfanyabiashara Wema Sepetu ni kama amejifunza kutokana na yaliyotokea mwaka 2023 katika kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake, kwani mwaka huu amefanya sher...
12
Will Smith na Martin Lawrence watoa ushauri kwa wapendanao
Baada ya kukutana na changamoto katika ndoa zao waigizaji Will Smith na Martin Lawrence, wametoa ushauri kwa wanandoa na wapenzi kwa kusisitiza kutendeana mema. Wawili hao wam...
06
Martin Lawrence afichua sababu ya kukataa kuigiza na Jackie Chan
Mwigizaji kutoka Marekani Martin Lawrence amefichua siri kuwa aliwahi kuombwa kuigiza pamoja na mkali wa filamu za mkono Jackie Chan katika filamu ya ‘Rush Hour’ y...
08
Martinez kurudi tena uwanjani
Mchezaji wa #ManchesterUnited, #LisandroMartinez anatarajiwa kurudi tena uwanjani katika mchezo wa fainali ya kombe la FA utakaochezwa Mei 25, 2024 katika uwanja wa #Wembley n...
14
Dr. Dre kutunukiwa nyota ya heshima, hollywood walk of fame
Producer na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Dr. Dre anatarajiwa kutunukiwa nyota ya heshima kwenye Hollywood Walk of Fame Machi 19, mwaka huu katika Jengo la Hollywo...
27
Ifahamu siri ya msitu wenye umbo la gitaa
Mkulima mmoja kutoka nchini Argentina, Pedro Martin aliamua kumuenzi marehemu mkewe aliyefahamika kwa jina la Graciela kwa kutengeneza umbo la Gitaa kwa kutumia miti ili mkewe...
31
Ten Hag ajitetea kisa majeruhi
Baada ya kufungwa na ‘klabu’ #NottinghamForest mabao 2-1, ‘kocha’ wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, Erik Ten Hag, amejitetea kwa kusema kina...
08
Afumwa akijaribu kuchoma nyumba aliyozaliwa Martin Luther King
mwanamke mwenye umri wa miaka 26 anashikiliwa na polisi kwa kutaka kuchoma nyumba aliyozaliwa na kukulia Martin Luther King Jr. kwenye barabara ya Auburn, Atlanta. Inaelezwa k...
10
Fat Joe asikitika kumkosa Will Smith kwenye tuzo za Bet
Mwanamuziki wa Hip-hop Fat Joe ambaye pia ni Mtangazaji na  Mtayarishaji Mkuu wa Kipindi cha Tuzo za BET Hip Hop, ameeleza alivyoumia baada ya kumkosa Will Smith kwenye j...
03
Hali bado tete kwa mchezaji Martinez
Beki wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #LisandroMartinez inadaiwa atakuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu kutokana na jeraha la mguu wa kulia. Kwa mujibu wa taarifa ...
30
Aliyefanya upasuaji wa matiti, Midomo, na kubadili rangi awe muafrika
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kumekuwa na matukio mengi ya kisayansi yafanyikayo ikiwemo baadhi ya watu mkubadiis...
24
Baada ya ndoa yao kuvunjika, Atakiwa kulipa zaidi ya sh 20 milioni kila mwezi
Mwigizaji wa Marekani Halle Berry na Olivier Martinez ambaye pia ni muigizaji kutoka Ufarasa ambao walikuwa ni wanandoa hatimaye n...
21
Safia Jongo: Ukiingia polisi bure, na kutoka ni bure
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu za...

Latest Post