Mwenendo wa sherehe ni maamuzi ya muhusika iwaje. Yaani yeye anataka afanye nini ili ipendeze na afurahi.Waalikwa punguzeni malalamiko na kupangia wahusiaka cha kufanya kwenye...
Baada ya msanii wa singeli nchini Dulla Makabila kupata nafasi ya kuongoza kwa kufanya vizuri kwenye muziki huo. Sasa ametangaza nia yake ya kufungua label ya muziki wa singel...
Baada rapa na mfanyabiashara kutoka Marekani Jay-Z kushinda kesi ya unyanyasaji wa kingono iliyofunguliwa na mwanadada Jane Doe Disemba 9, 2024. rapa huyo ameripotiwa kumshita...
Baada ya tukio la kutoa mahari lililofanyika mapema Jana Jumamosi Februari 15,2025, hatimaye ndoa ya wawili hao inatarajiwa kifungwa leo kwenye moja ya msikiti uliyopo Mbweni....
Mahakama ya rufaa ya shirikisho nchini Marekani, imeunga mkono hukumu ya R. Kelly ya kifungo cha miaka 30 jela iliyotokana na kesi zilizokuwa zikimkabili za biashara ya usafir...
Wakati mashabiki wakiendelea kumpa Kendrick Lamar maua yake kutokana na alichokifanya kwenye ‘Super bowl Half Time Show’ 2025, tayari baadhi ya mashabiki wameanza ...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chapa ya ‘St. Tropez’ unaeleza kuwa wanawake wanapata mabadiliko ya kuonekana wazee kila ifikapo Jumatano hasa kuanza saa 9:30 ...
Nyumba maarufu iliyopo katika kitongoji cha Winnetka, Illinois Chicago ambayo ilitumika kuigizia filamu ya ‘Home Alone’ ya mwaka 1990 inimeuzwa rasmi.Nyumba hiyo i...
Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Busta Rhymes ameripotiwa kujisalimisha kwa polisi, baada ya kumpiga mfanyakazi wake aitwaye Dashiel Gables tukio lililotokea Ijumaa, Ja...
Tasnia ya uchekeshaji imeendelea kuwa miongoni mwa zinazofanya vizuri kwenye kiwanda cha burudani Bongo kutokana na kubeba majina ya vijana wengi wanaojihusisha na kazi hiyo i...
Mwanamuziki Rihanna amemjia juu shabiki mmoja aliefahamika kwa jina la ‘Lorenzo Hirmez’ baada ya shabiki huyo kumwambia Riri anakomwe.“Tunahitaji album komwe...
Mwigizaji wa Hollywood Denzel Washington amebatizwa rasmi Desemba 21, 2024 katika Kanisa la Kelly Temple of God in Christ lililopo kitongoji cha Harlem jijini New York, Mareka...
Penzi likiwa la masharti linanifanya niwe mento
Penzi lako la mgao utafikiri Tanesco,
Sideti na vivlana nadate na wanaume wanaojitambua zaidi ya Neto,
Mimi sio shirika la misa...