Nyama ya foil ni aina ya mboga inayopendwa na watu wengi zaidi hasa wakienda katika migahawa mikubwa. Nyama hiyo hupikwa kwa kutumia foil na sio sufuria kama ambavyo watu wame...
Katika jamii nyingi mtu anayevaa suti huonekana kama mwenye nidhamu na anayejitambua. Kawaida Suti haivutii kwa sababu ya bei yake bali kwa namna inavyovaliwa, inavyotosha mwi...
Peter Akaro Akiwa na miaka 11 ndani ya Bongofleva tangu ametoka rasmi kimuziki, Billnass amesalia kuwa yule yule katika mtindo na mbinu za kutoa kazi zake kitu ambacho k...
Mkali wa muziki wa Pop kutoka Canada, Justin Bieber amerudi tena mjini kwa kishindo, hii ni baada ya kuachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘SWAG’ album ...
Msanii wa filamu nchini, Aunty Ezekiel amesema kilichopelekea aitwe na Bodi ya Filamu nchini ni kuchapisha picha chafu kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Akizungumza na waandi...
Wakati akielekea kuachia albamu yake mpya ya ‘Jack Boys 2’ rapa kutoka Marekani, Travis Scott amewazawadia gari aina ya Lamborghini wasanii wote aliyowashirikisha ...
Ndoto ya msanii na mwigizaji Akon Thiam ya kujenga mji wa kisasa nchini Senegal imeota mbawa baada ya serikali nchini humo kuchukua eneo hilo walilompatia.Serigne Mamadou Mbou...
Mwanamuziki Michael James ‘Mike Song’ ameeleza namna tamthilia ya Kombolela na Saluni ya Mama Kimbo ilivyofanya atambulike na kumpa madili kimataifa.Akizungumza na...
Inaelezwa kuwa hukumu ya Sean 'Diddy' Combs itatolewa Oktoba 3,2025 kwa makosa mawili likiwemo la kuhusika na biashara ya ukahaba, hatua hiyo imefikiwa baada ya wana...
Baba mzazi wa mwanamuziki wa Marekani Rihanna, Ronald Fenty, amezikwa jana Jumanne, Julai 8, 2025 nyumbani kwao Barbados baada ya kufariki Mei 31,2025.Rihanna na baba watoto w...
Kampuni inayojihusisha na kuandaa mashindano ya Miss Tanzania, 'The Look' imekata rufaa kupinga uamuzi uliotolewa na Baraza la Sanaa la Taifa 'Basata' wa k...
Wakati baadhi ya watu wakimuhurumia Mzee Kikala wa kwenye tamthilia ya ‘Kombolela’ kwa mtihani anaopitia kwa kuwa na watoto wengi wasiokuwa na maadili kwenye tamth...
Bodi ya Filamu Tanzania imemuita msanii wa maigizo Aunty Ezekiel kufika bila kukosa katika ofisi ya bodi hiyo zilizopo kivukoni, Dar Es Salaam siku ya Alhamisi, Julai, 10 2025...
Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa ikitokea kaamua kuacha muziki hakutakuwa na tangazo wala waraka.“Japo sijafikiria na sina...