Mwanamuziki Zuchu ametuma barua ya wazi kwa bosi wake na msanii Diamond kufuatia na yanayoendelea katika mitandao ya kijamii kuhudiana na maswala mazima ya yeye kutaka kuolewa...
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amesema kuwa katika kipindi cha Septemba 2023 hadi Novemba 2024 COSOTA kwa kushir...
Mtoto wa kwanza wa msanii Jose Chameleon, Abba Marcus ameweka wazi kuwa baba yake anasumbuliwa na maradhi ya kongosho (Acute Pancreatitis) iliyosababishwa na uraibu wa pombe k...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini anayetamba na ngoma ya ‘Ololufemi’ Jux ameweka wazi tofauti kati ya mpenzi wake wa sasa Priscilla Ajoke na wapenzi wake wa nyuma ...
Kutokana na sanaa ya upishi kuwa miongoni mwa mambo yanayoweza kukuza na kuendeleza utamaduni, utalii, na uchumi. Kufuatia madhimisho ya msimu wa tisa wa wiki ya Vyakula vya K...
Rapa kutoka Canada, Drake ameonekana kuwa na ukaribu zaidi na mtoto wake wa kiume aitwaye Adonis licha ya kutengana na mama wa mtoto huyo Sophie Brussaux.Kupitia ukurasa wa In...
Mawaziri watano sambamba na Mshauri wa Rais, Angellah Kairuki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa wanatarajiwa kushiriki Tamasha la Faraja y...
Baada ya kuwepo na minong’ono kupitia mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mashabiki wakihoji kwanini Diamond aliamua kuvaa vazi la Kimasai katika video yake na kwanini asi...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Kayumba Juma ameweka wazi juu ya mwendelezo wa sakata lake alilodai awali kudhulumiwa Sh 7 milioni na Director Elly Mzava, ambaye anafanya kazi na R...
Baba mzazi wa mwanamuziki wa Nigeria Burna Boy, Samuel Ogulu ameweka wazi jinsi anavyovutiwa na mafanikio ya kijana wake, hii ni baada ya mwanaye kuupiga mwingi katika onesho ...
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini ambaye kwasasa anaishi Marekani na mpenzi wake Rotimi ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji (Surgery) wa jicho na kuwa kwa sasa anaen...
Mwanamuziki wa Canada Celine Dion, ameweka wazi kuwa ugonjwa aliokuwa nao wa ‘Stiff Person Syndrome’ ulianza kumsumbua toka mwaka 2008.
Dion ameyasema hayo wakati ...