Msanii wa Bongo Fleva Treyzah ameendelea kuupiga mwingi katika muziki huku akiachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Sitaki Tena Mapenzi...
Michel Lotito maarufu Monsieur Mangetout ‘Bwana mla kila kitu’ kutoka Ufaransa aliingia katika kitabu cha Rekodi ya dunia ...
Peter Akaro Imekuwa ajabu kuona wimbo wa Rayvanny, Nesa Nesa (2024) uliotoka takribani miezi mitatu iliyopita ukirejea tena katika cha...
Takribani miezi mitatu sasa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania hususani TikTok na Instagram wamekuwa wakitumia wimbo wa ...
WhatsApp imeweka feature mpya inayowaruhusu watumiaji wake kuweka wimbo wowote waupendao kwenye hadithi (status).Kwa kutumia feature h...
Peter AkaroMwanamuziki wa Marekani, John Legend (46) amesema kipindi anarekodi na Lauryn Hill (46) alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu...
Bondia Mstaafu George Foreman amefariki dunia jana Ijumaa, Machi 21, 2025 akiwa na umri wa miaka 76.Taarifa ya kifo cha Foreman imetol...
Nani kama Costa Titch? muda aliohudumu kwenye muziki ni mchache lakini alifanikiwa kuonesha kila juhudi na mafanikio kwenye kazi yake....
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeanzisha mpango wa kusaidia wasanii wanaokabiliwa na uraibu wa dawa za k...
Peter Akaro Baada ya rapa aliyetamba na kundi la Nako 2 Nako Soldiers na sasa Weusi, Lord Eyes kudai muziki wa Hip Hop Bongo kuna sehe...
Kwa mara ya kwanza mwingizaji na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amezungumza kuhusiana na kesi inayomkabili mwigizaji mwenzie Joice M...
Peter AkaroMsanii wa Hip Hip Bongo na Mwanasiasa kwa sasa, Joseph Mbilinyi 'Mr. II 'Sugu' alitoka rasmi kimuziki mwaka 1993, hivyo ana...
Mzalishaji muziki maarufu nchini S2kizzy ‘Zombie’ ameendelea kujimwagia maua yake huku akidai hakuna producer mwingine kut...
Kelvin KagamboKama kuna jambo linalowagusa wasanii wa Tanzania hasa Bongo Fleva na Bongo Movie ni maisha kabla na baada ya umaarufu. S...
Msanii wa Bongo Fleva Harmonize amefanikiwa kutazamwa zaidi ya mara bilioni moja kwenye mtandao wake wa Youtube.Harmonize alianza kuwe...
Kelvin KagamboNatamani wasanii wangekuwa wanatengeneza video za ngoma zao au angalau baadhi ya video za ngoma kama Dizasta Vina. Simpo...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini Bando Mc ameweka wazi kuwa wapo mastaa wakubwa ambao waliwahi kumtumia kabla hajajipata katika muziki.Ak...
Mwigizaji Coletha Raymond amewajia juu wanaomkosoa kwa kwenda kanisani huku amevaa suruali.Mwigizaji huyo ambaye alichapisha video kwe...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva na CEO wa Next Level Music, Rayvanny ameweka wazi kuwa wakati Mbosso amepanga kuondoka WCB alimfuata na kum...
Peter AkaroAlianza mapambano yake katika sanaa akiwa tayari ni mama wa watoto wawili, ni wachache walioamini Shilole atakuja kuwa chap...