Mwanamuziki kutoka Nigeria Davido ametangaza kutokuwepo kwenye usiku wa Tuzo za Earth Prize zinazotarajiwa kufanyika leo Capetown nchini Africa Kusini, huku akitaja sababu kuw...
Katika kukuza sekta ya utalii Tanzania wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, wanaosoma sanaa ya ubunifu pamoja na wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita kutoka shul...
Mwigizaji wa Marekani, James Earl Jones ambaye alipata umaarufu kupitia filamu kama ‘Coming to America’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93.Taarifa ya kifo c...
Mwigizaji kutoka Marekani Channing Tatum amefunguka kuwa aliwahi kununua mashati kwa mwaka mzima kutokana na kuchukia kufua.Channing Tatum ameyasema hayo wakati alipokuwa kwen...
Kampuni ya Meta inayojihusisha na mitandao ya kijamii pamoja na kampuni inayoongoza duniani kwa kutoa burudani ya muziki 'Universal Music Group (UMG)' zimeingia makubaliano ma...
Kutokana na maendeleo ya teknolojia ulimwengu unaendelea kufurahia kazi za Charlie Chaplin, msanii maarufu wa vichekesho aliyezaliwa Aprili 16, 1889 London, Uingereza, alijuli...
Baada ya kuandamwa na kesi takribani nane kuhusiana na unyanyasaji wa kingono, mkali wa Hip-hop wa Marekani Diddy ameripotiwa kufanyiwa uchunguzi na familia ya Marehemu Tupac....
Ikiwa imepita siku moja tangu mwigizaji kutoka nchini Salim Ahmedy ‘Gabo Zigamba’ kuchapisha picha kupitia ukurasa wake wa Instagram ikionesha filamu yake ya &lsqu...
‘Klabu’ ya AS FAR Rabat ya Morocco imefikia makubaliano ya kumteua mkufunzi, Hussein Amouta kuwa ‘kocha’ mkuu klabuni hapo kwa ajili ya kuchukua mikoba...
Gwiji wa mpira wa Kikapu wa Marekani, LeBron James anatarajiwa kuwa mchezaji wa kwanza kucheza ‘timu’ moja na mwanawe wa kwanza, Bronny James.Mpango huo umewezekan...
Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford ameripotiwa kuweka wazi mipango yake baada ya kuwepo kwa tetesi za kuondoka katika ‘timu’...
Msanii Tems amejipa maua yake kwa kudai kuwa mwanaume atakaye mchumbia au kuwa naye katika mahusiano basi atakuwa amepata ua adimu.
Mwanamuziki huyo aliyasema hayo wakati akio...
Mume wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Simi, #AdekunleGold amefunguka kuwa na ugonjwa wa Sickle Cell ambapo ameweka wazi kuwa umekuwa ukimsumbua kwa muda mrefu.
Tovuti ya ...