26
Wazo la wimbo Afande wa Dogo Paten lilipatikana hivi..
Msanii wa muziki wa singeli  Dogo Paten anayefanya vizuri kupitia wimbo wake ‘Afande’, ambao Zuchu aliomba kuufanyia remix, ameiamba Mwananchi Scoop  waz...
26
Mama Beyonce aeleza vimbwanga vya mumewe
Peter Akaro  Mama mzazi wa mwanamuziki Beyonce, Tina amefunguka jinsi ndoa yake na aliyekuwa mume wake, Mathew Knowles ilivyokuwa na migogoro mingi iliyochochewa na usali...
26
Zuchu Kupanda Jukwaani Na Dogo Paten Leo
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Zuchu ameweka wazi kuwa atapanda jukwaani na msnii wa singeli, Dogo Paten kwenye ‘Samia Serengeti Music Festival 2025’ inayotaraj...
26
Ed Sheeran Alivyopoteza Uwezo Wa Kuona Kisa Snoop
Msanii maarufu kutoka Uingereza, Ed Sheeran amefichua kuwa aliwahi kupoteza uwezo wa kuona kwa muda baada ya kuvuta bangi akiwa na rapa nguli wa Marekani, Snoop Dogg.Sheeran, ...
26
Kufanya Ziara Ilikuwa Ni Ndoto Ya Darassa
Msanii wa muziki wa Hiphop nchini, Darassa usiku wa kuamkia leo Aprili 26, 2025. amefanya uzinduzi wa ziara ya album yake ya 'Take Away The Pain' Ware House Masaki, ...
25
Harmonize aishi kwa mashaka kisa wanawake
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amesema muda mrefu aliishi kwa hofu na mashaka juu ya watu aliokuwa akiingia nao kwenye mahusiano.Amesema ulipoanza mwezi wa Ramadhani al...
25
Vijana wahimizwa kuonesha vipaji vyao
Dar es Salaam. Jamii yahimizwa kuwashika mkono vijana wenye vipaji mbalimbali ili waweze kufikia malengo yao.Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa Mashindano ya vipaji kwa v...
25
Bieber: Acheni Wivu Niko Sawa Na Hailey
Baada ya kuwepo na tetesi kuhusiana na hali ya ndoa ya Justin Bieber na Hailey Bieber kuwa haiko vizuri huku baadhi ya ripoti zikidai kuwa Hailey amekuwa akilia na kuonyesha h...
25
Saluh Wa Bss, Lwaga Wamkosha Bien
Mwanamuziki wa Kenya, Bien amesema anakoshwa na msanii wa nyimbo za Injili Joel Lwaga na Saluu ambaye ni mshindi wa pili wa mashindano ya Bongo Star Search 2024-2025.Bien amey...
25
Polisi Yathibitisha Kumuhoji Mwijaku
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limethibitisha kuwahoji Mwemba Burton Mwemba, maarufu Mwijaku na wanafunzi wanne wanaidaiwa kushiriki katika tukio la kumshambul...
24
Yanayombeba Burna Boy Kimataifa
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy, anaendelea kung’ara kimataifa kufuatia uwezo wake wa kuchanganya Afrobeat na miondoko mingine kama reggae, dancehall, na pop...
24
Jose Chameleone Arudi Kazini
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone anatarajia kufanya show kwa mara ya kwanza baada ya kutoka kwenye matibabu nchini Marekani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
24
Hii ndiyo bendi iliyotumbuiza siku Tanganyika inapata uhuru
Unaifahamu Kilwa Jazz Band, ambayo ilipoanza ilikuwa inapiga nyimbo zake kwa mitindo mbalimbali ikiwemo Rhumba, Chacha, Samba, Bolelo na kadhalika, lakini ilikuwa na sifa maal...
23
Watoto Wa Beyonce Na Zigo La Umaarufu
Mama mzazi wa mwanamuziki Beyoncé, Tina Knowles ameeleza jinsi alivyo na wasiwasi juu ya changamoto ambazo wajukuu wake wanakumbana nazo kutokana na umaarufu wa familia...

Latest Post