Aliyekuwa mhudumu wa shirika la ndege la ‘Alaska Airlines’ Nelle Diala amefukuzwa kazi baada ya video yake akiwa anakatika viuno (kucheza) kusambaa kwenye mitandao...
Kwa zaidi ya miaka 10 Darassa amefanya muziki tofauti kabisa na rapa wenzake, uwezo wake wa kuchanganya vionjo na utunzi wa aina yake umefanya nyimbo zake kupendwa na watu wen...
Mtengeneza maudhui wa Marekani Nicholas Perry, ‘Nikocado Avocado’, ambaye amejizolea umaarufu kutokana na maudhui yake yanayohusu chakula kwenye mtandao wa YouTube...
Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria Paul Nonso Okoye ‘Rudeboy’ amethibitisha kuwa kundi la P-Square limegawanyiuka kwa mara nyingine.Tudeboy amelithibitisha kusamba...
Mwanamuziki Barnaba Classic ambaye kwa sasa ni mwigizaji wa filamu ya Mawio inayorushwa Azam Tv amesema kuwa kabla ya kuanza muziki alikuwa mwigizaji
“Nilikuwa mwigizaji...
Mwanamuziki wa Nigeria, #Portable, amemtolea povu mkali wa Afrobeat Davido kwa kudai kuwa msanii huyo alimtumia vibaya kwa ajili ya kutafuta umaarufu na kumuacha bila msaada w...
Fainali za mpira wa kikapo Marekani NBA zimeripotiwa kuweka rekodi mpya ya bei ghali za ‘tiketi’ tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011 ambapo kwa sasa ‘tiketi&rs...
Baada ya kutangaza tarehe ya mazishi ya mwigizaji kutoka Nigeria Mr Ibu, mwenyekiti aliyeteuliwa kusimamia mazishi ya mwigizaji huyo Monday Diamond A. JP (Odoziobodo) ametoa w...
Kampuni ya America's Best Contacts & Eyeglasses imeripotiwa kusitisha kuuza fremu za miwani zenye saini ya Diddy kutokana na kuhusishwa kwenye kesi kadhaa za unyanyasaji w...
Wakati kesi ya ‘rapa’ Deamonte Kendrick, maarufu kama Yak Gotti, ikiendelea kurindima mahakamani, Mawakili wake E. Jay Abt, Douglas Weinstein, pamoja na Katie A. H...
Kijana mmoja kutoka nchini Ujerumani aitwaye Lasse Stolley (17) anadaiwa kuhama kwa wazazi wake na kwenda kuishi katika treni za ‘Deutsche Bahn’ kwa mwaka mmoja na...
Kulingana na ripoti iliyotolewa na kampuni ya utafiti wa data ‘Burning Glass Institute and Strada Education’ imeeleza kuwa asilimia 52 ya wanafunzi waliohitimu Deg...
Wakati baadhi ya watu wakisumbliwa na uraibu wa vilevi ulevi, sigara na vitu vingine, mfahamu mwanaume mmoja aitwaye Robert mwenye umri wa miaka 32 kutoka Oakland, nchini Mare...
Kocha wa ‘klabu’ ya #Liverpool #JurgenKlopp amethibitisha kukosekana kwa mlinda mlango #AllisonBecker kwa wiki kadhaa baada ya kupata jeraha la misuli ya paja kati...