23
Burna Boy, Jcole ni damu damu
Mkongwe wa muziki wa Hip-Hop nchini Marekani J Cole amemualika staa wa Afrobeat kutokea Nigeria 'Burna Boy' nyumbani kwake North Carolina ambapo kuna studio yake ya nyumbani n...
02
Davido atangaza kuacha muziki endapo hatoshinda Grammy 2025
Staa wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria Davido ameonesha imani yake ya kushinda tuzo ya Grammy usiku wa leo"Kama sitoshinda Grammy mwaka huu ninafikiria kuacha muziki, nimew...
02
Tuzo za Grammy kugawiwa leo, fahamu haya
Leo Februari 2, 2025 zinatarajiwa kugawiwa tuzo za Grammy ambazo zitakuwa za 67 kufanyika tangu kuanzishwa kwake Mei 4, 1959.1. Tuzo za Grammy ambazo zinaangazia wasanii walio...
07
Bob Marley Alivyompatia Maokoto Ya Kudumu Rafiki Yake
Miongoni mwa nyimbo kubwa za Bob Marley ni pamoja na hii ya ‘No Woman No Cry’ iliyotoka 1974 ikiwa moja ya ngoma zinazo patikana kwenye album yake ya Natty Dread.K...
11
Taylor Swift awatunuku timu ya Eras Tour maokoto
Mwanamuziki kutoka Marekani Taylor Swift ameitunuku timu yake ya ‘Eras Tour’ bonasi ya dola 197 milioni kama ishara ya kuthamini juhudi zao katika ziara yake hiyo....
02
Tiffany Haddish: niliwahi kuuza nguo zangu za ndani ili nipate maokoto
Mwigizaji na mchekeshaji kutoka Marekani Tiffany Haddish amefichua kwamba wakati alipokuwa anajitafuta aliwahi kutangaza kuuza ngu...
13
Maokoto yanavyowafanya wasanii wa vichekesho kukimbilia YouTube
Siku za hivi karibuni huwenda mambo ni rahisi kwa wasanii wa vichekesho baada kuyakimbiza maudhui yako katika mitandao ya kijamii kama YouTube tofauti na ilivyokuwa zamani. Ak...
18
Ayra: Nilinunua nyumba kwanza baada ya kupata maokoto
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa kitu chake cha kwanza kununua baada ya kupata pesa ya kutosha alinunua nyumba ya ndoto zake.Ayra ameyasema hayo wakati akiw...
09
Jinsi ya kutengeneza murtabak kwa ajili ya biashara/futari
Na Aisha Lungato Alooooh! tulikubaliana kuwa mwendo ni ule ule wa kupeana tips za Ramadhani na leo nimewasogezea kitafunwa ambacho hakina mambo mengi, lakini ukila kwa ajili y...
01
Maokoto yambadilisha Rihanna, ajifunga mtandio kiunoni
Mwanamuziki Rihanna amewashangaza wengi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa nchini India amejifunga mtandio kiunoni.Rihanna ameonekana kwenye vazi hilo wakati...
15
Calisah: Siwezi kuwa na mwanamke aliyenizidi kipato
Mwanamitindo kutoka nchini #Calisah amesema kuwa hawezi kuwa na mwanamke aliyemzidi kwa kila kitu hususani katika kipato. Akiwa katika mahojiano na mmoja ya chombo cha habari ...
09
Shabiki apata maokoto kutoka kwa Drake
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Drake ameendelea kuonesha uugwana kwa mashabiki zake na sasa amemkabidhi shabiki aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani dola ...
31
Travis amtunuku mfanya usafi maokoto
Kama ilivyokawaida kwa wasanii kutoka nchini #Marekani kuwathamini mashabiki zao na hii imetokea tena kwa ‘Rapa’ #TravisScott ambapo alitoa pesa kiasi cha dola 5,0...
02
Mastaa waliotumia mitandao ya kijamii 2023 kujipatia maokoto
Achana na wale wa ‘kufeki’ mambo wanaotumia pesa nyingi kwa ajili ya kununua ‘maroboti’ kwenye mitandao ya kuuzia  muziki ili kazi zao zionekane z...

Latest Post