Zimesalia siku chache tu kabla ya kuumaliuza mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025. Kwenye burudani kuna matukio mengi kama ilivyo kwenye tasnia nyingine kama michezo amb...
Ubunifu ni kati ya kitu muhimu kwa wasanii kama njia ya kuwapa utambulisho na kuwafanya waendelee kujitengenezea utofauti. Ili kuwa na utofauti wapo waliowekeza ubunifu kwenye...
Kila ifikapo siku ya Alhamisi watu hupamba mitandao ya kijamii kwa picha na video za matukio yaliyopita. Matukio hayo hugusa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye michezo, familia ...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Davido ameamua kufuata nyayo za ‘rapa’ Drake baada ya kumlipia mwanafunzi mkopo wa shule.
Mwanafunzi huyo alinyanyua bango ...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini #Nigeria, #Davido ametangaza kuwa atachangia Naira milioni 300 ambazo ni sawa na tsh 500 milioni kwenye vituo vya watoto yatima vilivyopo nchin...
Ukiangalia kwa jicho la kawaida na kufikiria kwa haraka unaweza kudhani ni miyeyusho ya mashabiki kutaka kupita na upepo wa mastaa kwa kuwabambikizia kesi za unyanyasaji...
Mwaka 2023 ukiwa unaelekea kukatika mtandao wa Google tayari umetoka matukio yaliyoongoza kutafutwa kwenye mtandao huyo.
Google imetoa matukio hayo katika sekta mbalimbali iki...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #50cent yupo mbioni kuandaa filamu itakayohusu matukio ya unyanyasaji wa kingono yanayomkabili #PDiddy. 50 Cent amesema kuwa mapato y...
Ama kweli mambo ni mengi muda ni mchache, ni wiki nyingine tena tunakutana hapa kwenye segment ya kazi chimbo pekee tunakusogezea mambo mbalimbali kuhusiana na ajira.
Na leo n...
Mtayarishaji wa maudhui aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii kama #TikTok, #Instagram, #YouTube pamoja na #Twitch kutoka Marekani Kai Cenat, ameshiki...
Msanii kutoka nchini Marekani Drake alishambuliwa jukwaani wakati akiperform wimbo wa ‘So Anxious’ kwa kurushiwa viatu, simu na nguo kutoka kwa mashabiki, katika u...