Staa wa #BongoFleva #Harmonize ni kama ameonyesha kuchoshwa na kauli ambayo #DiamondPlatnumz anapenda kuisema mara kwa mara kuwa yeye ndiyo aliyemtoa katika muziki.
Harmonize ...
‘Rapa; Cardi B ameonekana kuwa mwanamke wa tofauti zaidi ya watu wanavyomfikiria baada ya kueleza kuwa yeye hayupo upande wa wanawake ambao wanawategemea wapenzi na wenz...
Baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kuwa simu ikiingia katika maji ili ikauke na iwe salama inatakiwa kulala usiku mzima katika mchele lakini kampuni ya simu Apple imetoa taarif...
Miaka ya hivi karibuni imetufundisha mengi kuwa siku hizi unasaidiwa sana na rafiki kuliko ndugu uliyezaliwa naye, hii ni kutokana na kutiliana vinyongo na kutopenda mafanikio...
Taifa la Israel limekasirishwa na kauli ya mfanyabiashara Elon Musk kusaidia Gaza kurudisha mawasiliano, ni baada ya hivi karibuni mmliki huyo wa mtandao wa X kutoa ahadi ya k...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Zuchu amejitolea kuunga mkono zoezi la kusaidia watoto #Gaza wanaokumbana na changamoto ya vita inayoendelea kati ya #Palestina na #Israel.
Kupitia...
Habari za kusikitisha kwa wapenzi wa mpira wa vikapu, ‘kocha’ mkongwe wa NBA kutokea nchini Marekani, Brendan Malone amefariki dunia siku ya Jana akiwa na umri wa ...
Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba w...
Najua ni vigumu kueleza kinagaubaga maana halisi ya neno urembo ila naweza kusema kuwa urembo ni utumiaji wa mapambo, manukato, marashi, uturi, mavazi na rangi ili kupendeza n...
Mchezaji wa ‘timu’ ya Deportivo Rio Canas kutoka nchini Costa Rica, Jesus Alberto Lopez maarufu kama Chucho (29) anadaiwa kufariki baada ya kumezwa na #Mamba mtoni...
Magreth Buvuma
Niaje niaje wakuu, karibu tena kwenye session yako pendwa kabisa ya Uncorner, na sehemu ni moja tu ambayo tunapiga story huku tukijifunza mambo mbalimbali yanay...
Baada ya shirika la chakula duniani la umoja wa mataifa (WFP) kusitisha sehemu ya msaada wa chakula nchini Ethiopia kutokana na wasiwasi kuwa misaada hiyo haiwafikii wahusika....
Kufuatia utafiti uliofanywa na watafiti kutoka nchini Uswidi unaonyesha kuwa kunusa harufu za mwili za watu wengine kunaweza kusaidia katika kutibu wasiwasi wa kijamii. Utafit...