Asap Rock mwanamitindo bora wa kitamaduni 2024

Asap Rock mwanamitindo bora wa kitamaduni 2024


British Fashion Council wamemtunuku ASAP Rocky tuzo usiku wa kuamkia leo kama Mbunifu wa Kitamaduni kwenye Tuzo za Fashion Awards 2024 huko London.

Tuzo ya mbunifu wa Utamaduni hupewa mwanamitindo maarufu katika tasnia ya burudani ambaye kwa mwaka mzima amebuni mitindo ya kitamaduni kwa kuweka mitandaoni ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa ulimwengu wa mitindo.

Asap ambaye ni rapa wa kimarekani amekuwa na muendelezo mzuri wa mitindo kuanzia onyesho la kwanza la Rocky la AWGE mjini Paris hadi ushirikiano wake wa kina aliofanya na brand ya viatu ya Puma.

Pia akiwa na run way ya TMZ akiwa amevalia suti ya ngozi brand ya Bottega Veneta na kupata moja wapo ya video bora za muziki ya mwaka mpaka kutangazwa kuwa mwenyekiti msaidizi wa tamashala fashion la Met Gala 2024,hiyo yote imetosha kusema Asap amekuwa mbunifu zaidi kwenye mavazi na anastahili kuitwa Fashion Killer






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post