Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na wataalamu kutoka Ufaransa Jean-Marie Robine na David Sinclair unaeleza kuwa wanaume wafupi wanaishi maisha marefu kuliko wanaume warefu.Wa...
Rapa kutoka Marekani Kanye West ameonesha ukubwa wake kwenye biashara, hii ni baada ya kuripotiwa kupata mauzo ya dola milioni tatu kupitia bidhaa zake za YZY ndani ya masaa 3...
Baada ya mwanamuziki kutoka Marekani Usher, kuwa mshauri wa muda mrefu kwa msanii Justin Bieber na kuzindua kipaji alichonacho kwa jamii, sasa imeripotiwa kuwa wawili hao huwe...
Shirika la upelelezi Marekani (FBI) imefanya ukaguzi nyumbani kwa aliyekuwa mume wa mwigizaji Jennifer Lopez, Ben Affleck, hii ni baada ya maafisa hao kuonekana wakitoka nyumb...
Mwigizaji Tyler Perry amezikosoa kampuni za bima kwa kutotumia njia bora za kusaidia jamii zilizoathiriwa na moto mkali unaoendelea jijini Los Angeles.Kupitia ukurasa wa Insta...
Tovuti ya Billboard imetangaza wimbo wa 'Blinding Lights' kutoka kwa The Weeknd umekuwa wimbo bora kwenye orodha ya Nyimbo 100 Bora za Karne ya 21. Blindin Light ambao ulitoka...
Na Ammar MasimbaAsilimia kubwa ya wasanii wanaochipukia na hata wale walioko tayari kwenye gemu ya muziki hawajui jinsi ya kufanya biashara ya kusambaza kazi zao. Hali hii ime...
Ngoma ambayo imembeba mwanamuziki kutoka Marekani Kendrick Lamar mwaka 2024 ya ‘Not like Us’ imetajwa kufikisha wasikilizaji bilioni 1.Mtandao wa Spotify umetangaz...
Ni mtoto wa kihuni. Hajali lolote. Na kutokujali kwake kumemfikisha alipo. Kifupi hasikilizi la mtu wala hana hofu watu watasema nini. Ogopa mtu wa hivyo. Huyo ndiyo Diamond P...
Mbunifu wa mitindo kutoka Nigeria, Liz Sanya anatajwa kukamilisha kutengeneza kiatu (sendo) kikubwa zaidi dunaini kwa kutumia masaa 72.Kwa mujibu wa tovuti ya ‘News Cent...
Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii kutokea Lebo ya WCB amewashukuru mashabiki zake kwa muitikio mkubwa waliuonesha baada ya kuachia kionjo cha wimbo wake wa‘Inaman...
Waigizaji maarufu Marekani Tom Holland na Zendaya wameripotiwa kuchumbiana wakati wa msimu wa Sikukuu uliyopita kwenye moja ya makazi ya familia ya Zendaya.TMZ imeeleza kuwa u...