Na Masoud KofiiChuo Kikuu cha Yale kilichopo Marekani kimeanzisha mafunzo ya siasa na utamaduni huku kikitumia album za Beyonce kufundishia.Albamu hizo ni kama vile Into Lemon...
Baada ya zaidi ya video 300 za ngono kusambaa katika mitandao ya kijamii za Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) kutoka Guinea ya Ikweta Baltasar...
Mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kukamatwa na polisi New York kufuatia tuhuma za kujihusisha na unyanyasaji wa ngono na biashara za madawa ya kulevya.Kwa muj...
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka Marekani, Lady Gaga amelianika hadharani kundi la zamani la Facebook la chuo kikuu cha New York na kudai kuwa kundi hilo lilimwambia hatokuja k...
Mwanamuziki Ali Saleh Kiba, maarufu Alikiba amefunguka kuhusiana na plani zake za kuupeleka muziki wake Kimataifa kama wasanii wengine kwa kuweka wazi kuwa anamipango wa kufan...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Cambridge umebaini kuwa ugomvi wa watoto waliofuatana unaweza kuwanufaisha hapo baadaye.Utafiti huo uligundua kwamba mabish...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuahirisha mchezo wa ligi baina ya Namungo FC na Fountain Gate FC uliokuwa uchezwe leo katika Uwanja wa Majaliwa Lindi.Taarifa iliy...
Timu ya wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Macquarie cha Australia wameanza harakati kukabiliana na janga la taka duniani ambapo wameamua kuunda Nzi kwa kutumia kinyesi mwenye ...
Daftari (notebook) ya zamani ya mwananamuziki Lil Wayne aliyokuwa akiitumia kuandika nyimbo zake mbalimbali lipo sokoni kwa ajili ya kuuzwa.Kwa mujibu wa Tmz imeeleza kuwa daf...
Mwanafunzi aliyeacha masomo katika Chuo kikuu cha Harvard aitwaye Avi Schiffmann kwa mara ya kwanza amevumbua kifaa cha akili bandia (AI) kiitwacho ‘Friend’ kwa le...
‘Klabu’ ya AS FAR Rabat ya Morocco imefikia makubaliano ya kumteua mkufunzi, Hussein Amouta kuwa ‘kocha’ mkuu klabuni hapo kwa ajili ya kuchukua mikoba...
Wanasayansi kutoka Japan wako mbioni kuzindua roboti lenye ngozi hai ambalo litakuwa na uwezo wa kucheka pamoja na kutabasamu kama binadamu.Ubunifu huo ulioongozwa na watafiti...