LEORNADO ATAMBA BAADA YA KUSHINDA TUZO Baada ya mchekeshaji Leornado kushinda tuzo ya 'Overall Best Comedian of the year' kupitia tuzo za Tanzania Comedy Award, ambazo zilitol...
Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone leo Februari 19,2025 anatarajia kufanyiwa upasuaji wa kongosho nchini Marekani katika Hospitali ya Allina Health Mercy iliyopo Coon Rapid...
Ikiwa zimepita siku chache tu tangu kuweka rekodi kupitia onyesho lake la ‘Super Bowl Halftime’, ambalo limekuwa tamasha lililotazamwa zaidi katika historia, na sa...
Ikiwa leo ni siku ya Wapendanao ‘Valentine Day’ mwanamuziki Diamond hakutaka ipite hivi hivi ambapo ameamua kuwaziba midomo wambea kwa kutuma ujumbe wa mahaba kwa ...
Moja ya show ambayo imekuwa ikifanya vizuri kila mwaka ni na Show ya Halftime ya Super Bowl ambayo imeonesha ukubwa wake katika ufuatilia kwenye mitandao ya kijamii huku show ...
Show ya Halftime ya Super Bowl imekuwa ikifanya vizuri miaka yote, ikianza kama tukio dogo la maandamano ya kutumia bendi na kisha kuwa tamasha kubwa linalowavutia mastaa wa m...
Kati ya watu ambao wamepata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania, kutokana na mbwembwe walizofanya kwenye harusi ya msanii Jux na mkewe Priscilla ‘Hadiza&...
Nancy Sumari Miss Tanzania 2005, hadi sasa ndiye mrembo mwenye historia yenye msisimko zaidi tangu kuanzishwa kwa Miss Tanzania, hii ni baada ya kufanikiwa kutwaa taji la Miss...
Brian Deacon ni jina la mwigizaji maarufu wa Uingereza aliyecheza kama Yesu Kristo katika filamu ya 'Jesus' (1979), iliyoandaliwa na kampuni ya 'Jesus Film Project'. Filamu hi...
Mjukuu wa Mfalme kutoka Dubai, Sheikh Hamdan Bin Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, aliwahi kuwavutia watu wengi huku akipokea pongeze kede kede baada ya kuacha kutumia gari yake...
Unaweza kusema ni lugha gongana kutokana na kauli za mama wa msanii na mfanyabiashara Hamisa Mobetto, Shufaa Rutiginga kuhusu ndoa ya binti yake na nyota wa Yanga Stephanie Az...
Mwigizaji kutoka Marekani, Denzel Washington ameweka wazi kuwa hana wasiwasi wowote baada ya kukosa uteuzi katika tuzo za Oscar huku akidai kuwa anajivunia sana kazi zake kuli...
Wakati mashabiki wakiendelea kumpa Kendrick Lamar maua yake kutokana na alichokifanya kwenye ‘Super bowl Half Time Show’ 2025, tayari baadhi ya mashabiki wameanza ...
Mwigizaji na mchungaji Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ amepinga mitazamo ya baadhi ya watu kuwa kufanya sanaa ni dhambi.Akizungumza na Mwananchi katika mahojiano m...