Kuvaa mavazi bora na ya heshima katika sehemu za kazi kuna umuhimu mkubwa na kunaleta faida nyingi kwa mfanyakazi na kwa shirika kwa ujumla. Hivyo ni muhimu kama mfanyakazi ku...
Baada ya uchunguzi uliyofanywa kwa takribani wiki tatu. Hatimaye rapa na mwanamitindo A$AP Rocky ameachiwa huru baada ya mahakama kumkuta hana hatia kwenye tuhuma mbili zilizo...
Mwanamuziki kutoka Colombia, Shakira ameahirisha moja ya show yake nchini Peru kutokana na tatizo la tumbo ambalo lilimfanya alazwe hospitali.Nyota huyo anayetamba na ngoma ya...
Kati ya watu ambao wamepata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania, kutokana na mbwembwe walizofanya kwenye harusi ya msanii Jux na mkewe Priscilla ‘Hadiza&...
Brian Deacon ni jina la mwigizaji maarufu wa Uingereza aliyecheza kama Yesu Kristo katika filamu ya 'Jesus' (1979), iliyoandaliwa na kampuni ya 'Jesus Film Project'. Filamu hi...
Na Michael Anderson
Je ungekuwa huogopi ungefanya nini ili uboreshe maisha yako? Unataraji hofu na uoga kukupa unachotaka maishani?
Je unajua unapaswa ufanye nini ili uw...
Uongozi ni wito na watu husema hakuna kazi ngumu kama kumuongoza binadamu. Kwa kulitambua hilo kwenye Segment ya Kazi tumeangazia mambo ya kuzingatia unapopata uongozi kazini....
Serikali nchini Australia chini ya Waziri wa Sheria Mark Dreyfus imeanzisha sheria mpya ya kutoa kifungo cha angalau mwaka mmoja (miezi 12) kwa mtu atakayeonesha chuki ya aina...
Mahakama inayoendesha kesi ya mauaji ya Rapa Pop Smoke imemuhukumu miaka 29 jela Corey Walker, mwenye umri wa miaka 24 ambaye ni mmoja wa washtakiwa wa mauaji ya rapa huyo wa ...
Licha ya muziki kuhusisha usikilizaji zaidi lakini video zake zimekuwa na mchango mkubwa wa kukuza kazi za wasanii na kuwapeleka mbali zaidi. Pia zinapanua wigo wa sanaa na ku...
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote.Mwigizaji huyo mwenye ut...
Uchunguzi bado unaendelea Los Angeles katika kesi inayomkabili rapa ASAP Rocky, ambaye anakabiliwa na mashtaka mawili ya uhalifu, akidaiwa kumpiga risasi rafiki yake wa zamani...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na wataalamu kutoka Ufaransa Jean-Marie Robine na David Sinclair unaeleza kuwa wanaume wafupi wanaishi maisha marefu kuliko wanaume warefu.Wa...