25
Nyuma Ya Muziki Tyla Anakipaji Hiki!
Wengi wanamfahamu Tyla kwa ngoma zake za kuvutia ikiwemo ‘Water’, lakini mashabiki wengi hawajui kuwa nyota huyo ambaye sauti yake inaushawishi mkubwa katika jamii...
25
Je, Ushawahi Kumuona Morgan Freeman Akiwa Kijana
Morgan Freeman ni jina kubwa katika tasnia ya filamu duniani. Amejizolea heshima na upendo kwa jamii kufuatia na uigizaji wake wa kipekee pamoja na uwezo wake wa kuigia kwenye...
25
Jux Na Mkewe Watarajia Kupata Mtoto
Wanandoa ambao harusi yao ilitikisa Tanzania, Nigeria na mataifa mengine Jux na mkewe Pricy wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.Kupitia ukurasa wa instagram wa wanandoa hao...
25
Nguli Wa Mieleka Hulk Hogan Afariki Dunia
Mwanamieleka maarufu ambaye amewahi kutamba katika shirika la mieleka WWE, Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71.Taarifa za kifo chake zinaeleza kuwa Hogan amba...
24
Rapa Cash Out Aswekwa Jela Maisha
Rapa Cash Out, ambaye jina lake halisi ni John-Michael Hakeem Gibson, amehukumiwa kifungo cha maisha jela pamoja na miaka mingine 70 siku ya Jumatatu baada ya kupatikana na ha...
24
Nay Amlipua Billnass, Adai Ni Mwizi
Wakati rapa na msani wa Bongo Fleva, Billnass akifanya mahojiana leo na moja ya chombo cha habari nchini, aliulizwa changamoto gani iliyopelekea kumzuia mke wake mwanamuziki, ...
24
Mama Wa Msanii Kingston Ahukumiwa Miaka 5 Jela
Mama wa mwanamuziki Sean Kingston, Bi Janice Turner (63) amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia pamoja na mwanae Kingston katika kesi ya madai ...
24
Sababu Priyanka Chopra Kuhifadhi Mayai Yake Ya Uzazi
Mwigizaji maarufu kutoka India amefichua sababu iliyopelekea kuhifadhi mayai yake ya uzazi akiwa na umri wa miaka 30.Katika mahojinao yake na ‘Armchair Expert ya Dax She...
24
Shabiki Aliyepigwa Na Card B Afungua Mashtaka
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Jane Doe amemshitaki rapa Card B kwa kumpiga na kipaza sauti ‘Microphone’ tukio ambalo lilitokea wakati wa onesho Drai&rsq...
23
Ishu ya filamu Zanzibar tatizo lipo hapa, Omary wa kombolela aeleza
Mwigizaji kutoka Zanzibar Hemed Juma Jabu ‘Omary wa Kombolela’ ambaye ameonekana kwenye tamthilia kama Jivu, Shilingi ...
23
High School Ya Nicki Minaj Yarudi Tena Mjini
Moja ya wimbo unaotamba katika mitandao ya kijamii ikiwemo Tiktok na Instagram ni wa rapa kutoka Marekani Nicki Minaj ‘High School’ wimbo ambao amemshirikisha Lil ...
23
Hali Ya Mwigizaji Bruce Willis Bado Tete
Hali ya mwigizaji kutoka Ujerumani, Bruce Willis imeendelea kuwa mbaya, sasa ameripotiwa kupoteza kumbukumbu.Willis, alibainika kuwa na maradhi ya Frontotemporal Dementia (FTD...
23
Hii hapa filamu iliyofilisi watayarishaji na waigizaji
Mwaka 1963 dunia iliipokea filamu kubwa ya Cleopatra ambayo iliwavuruga wengi kutokana na urembo wa muhusika mkuu Elizabeth Taylor.Licha ya kupokelewa na watu wengi kampuni ya...
22
Tungo za Mbosso zilivyojaa majina ya misosi
Baadhi ya waimbaji wa Bongofleva wanasifika kwa utunzi wa nyimbo nzuri za mapenzi ila Mbosso amefanikisha katika tungo zake za namna hiyo kutokana na kuimba vitu tunavyoviishi...

Latest Post