Issa Matona. Mishangazi na midingi inamjua. Mwamba kutoka Visiwani. Alikuwa ni mwanamuziki wa taarabu. Lakini taarabu yake ilikuwa tofuati na hii ya kina Mzee Yusuf na wenzake...
Mwigizaji maarufu kutoka Uingereza mwenye asili ya Nigeria, Damson Idris, ameendelea kupenya katika tasnia ya filamu ya Hollywood, hii ni baada ya kuthibitisha kuwa mmoja wa w...
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameandika historia nyingine kwenye muziki huo, ambapo usiku wa kuamkia leo Juni 21, 2025, amefanikiwa kutumbuiza katika tamasha kubwa l...
Kizazi kipya wengi hawana elimu. Inayohusu jinsi ya kuishi kwenye ndoa. Ndo maana ‘deile’ ndoa zinavunjika kama biskuti iliyolowana. Sasa pata somo hapa lisha jion...
Mahakama ya juu nchini Marekani imekataa kusikiliza kesi iliyodai kwamba wimbo wa Ed Sheeran kutokea Uingereza, Thinking Out Loud (2014) umekiuka haki miliki ya wimbo wa Marvi...
Msemaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Alex Makaro, amethibitisha kupokelewa kwa mgonjwa ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford 'Gigy Money' hospit...
Mwanamuziki wa R&B kutoka Marekani, Robert Sylvester Kelly maarufu R. Kelly, ameripotiwa kuzua vurugu za kupiga kelele na kulia akiwa gereza la Butner Federal Correctional...
Msanii wa muziki wa Singeli ambaye pia ni Dj wa kimataifa, Dj Travella ameweka wazi safari yake ya mafanikio katika muziki huo mpaka kupata nafasi ya kwenda kufanya shoo kimat...
Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Zee Cute, Baraka Frank, amethibitisha msanii huyo kuanza matibabu maalum kutokana na changamoto ya Afya ya Akili iliyoanza kumsumbua mwezi Mei...
Olipa AssaMchekeshaji na msanii wa Muziki wa Singeli, Tabu Mtingita kama kuna kitu kinamfanya azungumziwe zaidi katika mitandao ya kijamii nje na kazi za sanaa anazozifanya ni...