21
Ndani Ya Boksi: Mbosso Kila Harusi Milioni 50
Issa Matona. Mishangazi na midingi inamjua. Mwamba kutoka Visiwani. Alikuwa ni mwanamuziki wa taarabu. Lakini taarabu yake ilikuwa tofuati na hii ya kina Mzee Yusuf na wenzake...
21
Mwigizaji Damson Kuwa Mrithi Wa Chadwick
Mwigizaji maarufu kutoka Uingereza mwenye asili ya Nigeria, Damson Idris, ameendelea kupenya katika tasnia ya filamu ya Hollywood, hii ni baada ya kuthibitisha kuwa mmoja wa w...
21
Diamond Aweka Historia Marekani
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameandika historia nyingine kwenye muziki huo, ambapo usiku wa kuamkia leo Juni 21, 2025, amefanikiwa kutumbuiza katika tamasha kubwa l...
21
Jiongeze: Wake Wa Jenzii Fanya Haya Usilie Tena
Kizazi kipya wengi hawana elimu. Inayohusu jinsi ya kuishi kwenye ndoa. Ndo maana ‘deile’ ndoa zinavunjika kama biskuti iliyolowana. Sasa pata somo hapa lisha jion...
21
Ed Sheeran apeta tena mahakamani kesi ya hakimiliki
Mahakama ya juu nchini Marekani imekataa kusikiliza kesi iliyodai kwamba wimbo wa Ed Sheeran kutokea Uingereza, Thinking Out Loud (2014) umekiuka haki miliki ya wimbo wa Marvi...
20
Gigy Money aruhusiwa kutoka hospitali
Msemaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Alex Makaro, amethibitisha kupokelewa kwa mgonjwa ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford 'Gigy Money' hospit...
20
R Kelly Azua Vurugu Gerezani, Adai Anaonewa
Mwanamuziki wa R&B kutoka Marekani, Robert Sylvester Kelly maarufu R. Kelly, ameripotiwa kuzua vurugu za kupiga kelele na kulia akiwa gereza la Butner Federal Correctional...
20
Dj Travella Alivyopata Tobo La Kimataifa, Meneja Kandoro Afunguka
Msanii wa muziki wa Singeli ambaye pia ni Dj wa kimataifa, Dj Travella ameweka wazi safari yake ya mafanikio katika muziki huo mpaka kupata nafasi ya kwenda kufanya shoo kimat...
19
Meneja: Hali Ya Zee Cute Bado Sio Nzuri
Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Zee Cute, Baraka Frank, amethibitisha msanii huyo kuanza matibabu maalum kutokana na changamoto ya Afya ya Akili iliyoanza kumsumbua mwezi Mei...
19
MX Carter awataka Billnass, Gara B kumlipa fidia ya mamilioni kwa madai ya kumchafua
Mwanasheria wa msambazaji wa kazi za wasanii Kidigitali, Michael Mlingwa 'MX Carter', Hassan Yaseen, amefafanua sababu y...
19
Tyler Perry ashitakiwa kwa unyanyasaji wa kingono, aombwa fidia Sh674 bilioni
Derek Dixon amemfungulia mashitaka muigizaji mwenzake na mtayarishaji maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani, Tyler Perry kwa ma...
19
TABU: Unene unazeesha, kiposongo natamba naye
Olipa AssaMchekeshaji na msanii wa Muziki wa Singeli, Tabu Mtingita kama kuna kitu kinamfanya azungumziwe zaidi katika mitandao ya kijamii nje na kazi za sanaa anazozifanya ni...
19
Diamond jukwaa moja na Ja Rule, Asake, Ayra Starr na wakali kibao Marekani
Mwanamuziki Diamond Platnumz tayari amemaliza ziara yake nchini Uingereza baada ya kupiga shoo tatu kwenye miji mikubwa nchini hum...
17
Khadija Kopa ajitosa tena kwenye singeli, Barobaro aeleza alivyomshawishi
Nguli katika muziki wa Taarabu, Khadija Kopa amejitosa tena katika muziki wa Singeli ambapo jana sauti yake ilisikika katika ngoma...

Latest Post